Ni Joh Makini kwenye stage Iringa Tanzania…. anasema hii ni moja ya show alizowahi kufanya ndani ya January (mwezi dume) na zikauza ticket mpaka Promota akaamua kuongeza kiingilio baada ya kuona watu wanazidi kuingia.
Mashabiki walifurika sehemu ya show kiasi ambacho ata promota akutarajia kama watu wangejaa kiasi hicho.
No comments:
Post a Comment