Mara baada ya mchezaji mbwana samata kutwaa Tunzo ya mchezaji bora wa Afrika kati ya wale wachezajo wa ndani,Kocha mkuu wa timu ya Taifa chars boni mkwasa ameamua kumtunuku mbwana samata unahodha wa timu ya Taifa.kocha huyo alinukuliwa kwa maneno haya "Ni mabadiliko ya kawaida hasa baada ya Mbwana kutwaa tuzo na heshima kubwa kwa Afrika, sisi tumeona tumuongezee majukumu mengine ili aweze kutuongozea timu yetu ya taifa Taifa Stars, ameweza kuiongoza TP Mazembe kuwa Bingwa wa Afrika, hivyo tumeona tumpe fursa hii ili awaongoze wenzake katika mechi za AFCON zilizobaki".
No comments:
Post a Comment