Peter Msechu awafuta machozi watu wa Kenya kwa kutoa wimbo maalum wa maombolezo ya tukio la Westgate
Baada ya mashambulio ya kigaidi kwenye mall ya Westgate huko Nairobi,
Peter Msechu amekuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kutoa wimbo
maalum kwa ajili ya tukio hilo. Peter Msechu anasema kwamba kwa kutambua
mchango watu wa Kenya kwenye muziki wake. Ameamua kutoa wimbo huu
maalum kwa kuwafuta machozi wananchi wa taifa la Kenya.Sikila na
download hapa
No comments:
Post a Comment