Alichokisema Uhuru Kenyata kuhusu siku za maombolezo ya watu waliofariki kwenye shambulio la kigaidi.
Kutokana na mashambulio yaliyotokea kwenye shopping mall ya Westgate,
Rais wa Kenya Uhuru Kenya amelihutubia taifa la Kenya na kusema maneno
ya msingi kuhusu swala la Westgate. Moja ya vitu vikubwa ambavyo Uhuru
Kenyata amevisema ni kuhusu nchi yake
kuomboleza kwa muda wa siku tatu na bendera ya taifa la Kenya itapepea
nusu mlingoti kuwakumbuka wote waliopoteza maisha kwenye hili shambulio
No comments:
Post a Comment