Monday, September 23, 2013

Mambo yalivokuwa kwenye Fiesta usiku ulopita

DSC_0243
acha tu likuwa mshikemshike
DSC_0248
Show ndio kwanza imeanza hapa kwenye uwanja wa Kambarage 87.5 Shinyanga mtu wangu ambapo wakali kama Ney wa Mitego, Juma Nature, Linah, Stamina, Young Killer, Dudubaya, Godzilla, Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ni baadhi tu ya watakaoonekana kwenye stage usiku huu hapa Shy TownDSC_0247     

No comments:

Post a Comment