| Ni dhahiri kwamba ndugu zetu wamepata tabu sana kwa tukio hili, ni
shambulio ambalo limefanya idadi ya waliofariki kufikia 39, hizi video
mbili zinaonyesha baadhi ya matukio wakati wa uokoaji nje na ndani ya
Westgate Mall ambapo Polisi wamesema ni zaidi ya watu 600 wameokolewa
kutoka ndani. kwa taarifa zaidi za matukio ili kupata habari kwa haraka unaweza kujiunga na kuwa mwanachama wa calvinhaule.blogspot.com kupitia http://instagram.com/calvinhaule# https://www.facebook.com/calvinhaule9 na https://twitter.com/@haulecalvin http://www.youtube.com/watch?v=KtWWNW0zJMg&feature=player_embedded#t=0 |
Sunday, September 22, 2013
BAADHI YA PICHA KWENYE SHAMBULIO LA WESTIGATE NAIROBI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment