Ni gari aina ya Toyota Lexus Harrier New model.Kulingana na maelezo ya meneja wa Diamondplatnum "Babu tale" kasema Hii gari Imegharibu Fedha za kiTanzania shilingi Mikioni 35 kuiagiza toka nje mpaka kuingia hapa Bongo na pia Shilingi milioni 3 za kitanzania kwaajili ya kulipamba hilo gari yaan Kufunga Model Music system na Seat cover,Hivyo jumla ya fedha zote ni kwamba gari hii imegharimu Shilingi Milioni 38.1
No comments:
Post a Comment