Pichani ni mbunge wa viti maalumu easter bulaya ambaye amesema kuwa baada ya kutoa hoja zinazohusu madawa ya kulevya usiku alipokea msg nyingi zikiwemo za vitisho na zingine za kumpongeza kwa ujasiri wake kama ambavyo alifanya marehemu amina chifupa.
No comments:
Post a Comment