Sunday, September 1, 2013

YALOJIRI KWENYE UZINDUZI WA FILAMU MPYA LULU INAYOKWENDA KWA JINA LA #FOOLISH AGE

siku ya jana ni siku ambayo star wa filamu za kibongo elizabeth michael ajulikanae kama lulu alizindua filamu yake mpya katika ukumbio wa mlimani city filamu hiyo inayokwenda kwa jina foolish age,alipozungumza na  mimi admin wa blog hii calvinhaule  alisema kuwa ana furaha sana maana ni kitu ambacho kilikuwa kwenye ndoto zake alikutana na vikwazo vingi pindi akiwa mbioni kuizindua filamu yake hiyo na anamshukuru MUNGU kwa kumsaidia mpaka kufikia hatua hiyo ,zifuatazo ni picha ambazo zinaelezea jinsui matukio yalivokuwa katika uzinduzi wa filamu hiyo,via millardayo bogDSCN3288http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/08/DSCN3364-1024x768.jpgDSCN3322

No comments:

Post a Comment