Sunday, September 1, 2013

Somalia yakaribisha TED-X

Wasomi, wasanii na wafanya-biashara wa Somalia wamekuwa wakizungumza katika mji mkuu, Mogadishu, kwenye ile mikutano inayofanywa sehemu mbali-mbali za dunia iitwayo TED-EX.
Mazungumzo hayo yaliyofanywa kwenye ukumbi wa mikutano chini ya ulinzi mkubwa, yalihusu mapendekezo na ubunifu wa kuijenga tena Somalia.
Hotuba katika vikao vya TED-EX zimetolewa katika nchi zaidi ya 150.Barabara ya Mogadishu

No comments:

Post a Comment