Hatimaye wemasepetu na mwenzie ally daxx wamepata dili la kuwa ma judge kwenye utafutaji wa models unajulikana kama 'fashion evenue' huko south africa,na isi ishie apo baada ya kumaliza dili hilo pia yeye na mwenzake ally daxx watapga dili lingine la ubunifu wa mavazi litakalo endeshwa na aly ethrumer,alithibitisha hayo yeye mwenyewe wema sepetu alipokuwa akiongea na waandishi wa habari clouds tvblogger-image-2001307782.jpg
No comments:
Post a Comment