Saturday, August 24, 2013

Shilole akisababisha katika VOA ziarani malekani

msanii Shilole alipokuwa marekani alipata nafasi ya kutembelea kituo cha i dhaa ya kiswahili cha nchni humo kijulikanacho kama VOA nakufanya mahojiana na mpiganaji Sunday shomali.pichani ni Shilole alipokuwa katika kituo hicho.

No comments:

Post a Comment