Sunday, August 18, 2013

MENO YA TEMBO YAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA DAR

Jnana agosti 17 mwaka huu majira ya jioni polisi walimkamata raia mwenye asili ya vietnam aliejulikana kwa jina la nguyeni fanichati akiwa na meno ya tembo ambayo yana thamani ya fedha za kitanzania tsh milioi 18

No comments:

Post a Comment